Ifahamu lock ya frp katika smartphone yako

Nini maana ya Frp ( factory reset protection)?

Huu ni ulinzi uliowekwa kwenye simu (smartphone) ambao google wameuweka kwenye simu kuanzia android lollipop v5.1 na kuendelea kwa
ajili ya kumzuia mtu mwingine asiweze kutumia simu yako au kupata taarifa zako kwa urahisi pale atakapokuwa na simu yako..
Lock hii hutokea pale utakapo reset simu husika. ampapo kwa simu za kawaida zilizo chini ya lollipop v5.1 ukisha ireset hapo inakuwa tayari kwa matumizi lakini hii ni tofauti na simu zenye lock ya frp kwani baada ya simu hii kuwaka itakutaka kuweka email (Google Account) ya mwanzo iliyoungwa (synced) pale simu ilipokuwa inataka kuanza kutumiwa. Na hilo ndilo tatizo kwani google wanakuwa wanataka email ya mwanzo ili kudhibitisha kama kweli wewe ndiye muhusika halali wa simu hiyo
Lakini si kila mtu atakuwa mwizi kwani kurest simu mara nyingi hutokea pale utakapo sahau lock yako au pale simu yako itakapokuwa na tatizo, kwani kuna baadhi ya watu wanakuwa wanauziwa, kuokota au kupewa simu na siyo kila mtu atakumbuka email ya mwanzo iliyotumika.

Njia za kuliondoa tatizo hili
Kama unayo simu yenye tatizo hilo basi unatakiwa kujua kuwa kuna aina mbili ya kuliondoa hili tatizo

1.Bypassing( Cracking)
Hii njia ni njia inayotumiaka kuliondoa hili tatizo bila kutumia tools kama computer au box njia hii inakuwa ni ya mkono tu, ila siwezi kufahamisha jinsi ya kuweza kuliondoa kwa sababu simu zinatofautiana na kila simu ina njia yake, ila kama una tatizo hilo basi nitafute kwa number
📞+255769021987
mimi nipo kariakoo zanzibar......

2.Njia ya vifaa
Vipo vifaa maalumu ambavyo huweza kutumika kuondoa hilo tatizo mfano wa vifaa hivyo ni zx3,octoplus,falcon,
miracle box, Nckdongle , Nckbo, Volcano n.k

kama kuna sehemu nimekosea basi naomba tusamehani na unaweza kunifata kwa maoni na ushauri..

     By djmuba🎶

Thanks for readingDj Muba:
Assalam Alaykum??

📞+255769631203
mimi nipo kariakoo zanzibar......

2.Njia ya vifaa
Vipo vifaa maalumu ambavyo huweza kutumika kuondoa hilo tatizo mfano wa vifaa hivyo ni zx3,octoplus,falcon,
miracle box, Nckdongle , Nckbo, Volcano n.k

kama kuna sehemu nimekosea basi naomba tusamehani na unaweza kunifata kwa maoni na ushauri..

     By djmuba🎶

Thanks for reading

2 comments: